Mh. rais JK. amesema anatarajia kutangaza majina ya wajumbe wa bunge la katiba mpya ndani ya siku mbili zijazo. amesema hayo wakati akihutubia wananchi wa mbeya leo kwenye siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani hapa. aidha amesema kuwa bunge hilo linatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya mwezi huu wa pili.
TUNALISUBIRI KWA HAMU KUBWA
ReplyDeletenatumain hakutakuwa na opendeleo kwenye kuchagua majina
ReplyDelete