Sunday, February 2, 2014

Mh. rais JK. amesema anatarajia kutangaza majina ya wajumbe wa bunge la katiba mpya ndani ya siku mbili zijazo. amesema hayo wakati akihutubia wananchi wa mbeya leo kwenye siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani hapa. aidha amesema kuwa bunge hilo linatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya mwezi huu wa pili.
CCM kutimiza miaka 37 leo jpili 2/2/2014